Zaburi 134

Msifuni Bwana, ninyi nyote watumishi wa Bwana, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana. Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu Bwana. Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.

Neno: Biblia Takatifu

copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc — CC-BY-SA-4.0 — CC-BY-SA-4.0

订阅我们的新闻通讯

及时了解新的资料页、活动与平台更新。